Mimi yangu DEX ilikuwa mwaka 2015. So yeah DDY ilikuwa 2014.Hivi DD... sio kuwa imesajiliwa 2014 hivi?
Awezaye kutengeneza jambo lolote ndiye huyo huyo awezaye kuharibu mfumo wake mzima.Daaa kweli bongo ujanja ujanja mwingi sanaa, hiyo ODO imeshachezewa