Harrier new model huwez kuifananisha na kluger new model mm kwa mtazamo wangu kluger new model ipo kama landcruiser amazon au kilimo kwanza manake ni v6 zote alafu ni cc 2400 wakati harrier new model ni cc 2000 alafu ni v4, labda kama mnazungumzia harrier na kluger second generation manake kwa hizo harrier ipo vizur zaidi ni SUV ya ukweli sana huwezi kuifananisha na kluger gari zote hzo nimeendesha harrier inachanganya haraka zaid kuliko kluger hata stability barabarani harrier unaweza maliza kibao cha speed isiwe na shida tofauti na kluger