Matengenezo gani? Unauza bei gani?
Hiyo kanunu Haujue pikipiki Boss mpya unapata
Boss uko wapi na bei gani?
Matengenezo gani?
Yakubadili engine na gear box. Ukiona mtu hasemi jua kimeo hicho
Weka bei basi mkuuHiyo weka akiba mkuu
Elfu 20,000/- ni sawa na 20,000,000/-chukua bajaji na elfu 20,000 ya wese
Achane dharau kwenye kazi za watu!Kula laki 3