bface Senior Member Joined Dec 22, 2010 Posts 128 Reaction score 19 Aug 6, 2015 #1 Nauza harrier mwaka 1999 engine 4cylinder ina auto na manual pia, km 134, bei 14m aliyetayar just pm
Kitimoto JF-Expert Member Joined Aug 25, 2012 Posts 8,190 Reaction score 9,874 Aug 6, 2015 #2 bface said: Nauza harrier mwaka 1999 engine 4cylinder ina auto na manual pia, km 134, bei 14m aliyetayar just pm Click to expand... Hii gari kama mpya! Ina zaidi ya miaka 15 lakini imetembea km 134!
bface said: Nauza harrier mwaka 1999 engine 4cylinder ina auto na manual pia, km 134, bei 14m aliyetayar just pm Click to expand... Hii gari kama mpya! Ina zaidi ya miaka 15 lakini imetembea km 134!
wiseboy JF-Expert Member Joined Mar 22, 2011 Posts 2,930 Reaction score 3,314 Aug 6, 2015 #3 amazing....hii itakuwa guta
bface Senior Member Joined Dec 22, 2010 Posts 128 Reaction score 19 Aug 7, 2015 Thread starter #4 Guta kivp tena
SPERMATOZOA Senior Member Joined Aug 3, 2012 Posts 133 Reaction score 44 Aug 7, 2015 #5 Jiwahi kwa kuweka picha
Jile79 JF-Expert Member Joined May 28, 2009 Posts 17,668 Reaction score 13,274 Aug 7, 2015 #6 We hauuzi kitu.....km kweli ungekuwa umeweka picha. we mhuni
kishaija JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 1,049 Reaction score 1,205 Aug 7, 2015 #7 Mkuu ungeweka picha ingekuw poa zaid
Karucee JF-Expert Member Joined Mar 11, 2012 Posts 18,196 Reaction score 34,502 Aug 7, 2015 #8 Acha nipite mie. CC OLESAIDIMU Last edited by a moderator: Jan 4, 2016