Harmorapa kuachia ngoma mpya leo "nundu", wimbo huu utafungiwa tu

ubuntuX

JF-Expert Member
Aug 18, 2014
1,977
2,200
Wakuu

imetangazwa leo msanii mwenye kupenda kiki hapa jijini kuliko kazi ataachia wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la "Nundu" humo amemshirikisha mkongwe aliyepotea kwa muda sasa CPWAA

sina wasi na ukali wa wimbo huo ila tatizo lipo kwenye video yake, kwani ameshatoa kionjo cha wimbo huo kikiwaonesha wanawake wakiwa wazi "makalio" yao nje nje hata nyeti zao pia ukizoom ni waaaaaaaaa

sasa huyu bwana mdogo alipofikia sio pazuri, anatafuta kiki kwa lazima kwani hapa lazima atembelee Kiki toka BASATA

Kwa kionjo hiki, Basata itoe onyo kali saaana kwa huyu dogo ikiwa hata kumfungia kabisa, anashindwa kufanya kazi yeye anataka ajadiliwe tu kwa upuuzi kama huu
naomba apewe adhabu kali na iwe fundisho

kionjo tu hakifai na hakiba maadili

link hii kujionea kionjo tu
 
Bora ufungiwe na huyo Hamo nani sijui apotee kabisa kwenye ramani. Upuuzi gani huo
 
Bora ufungiwe na huyo Hamo nani sijui apotee kabisa kwenye ramani. Upuuzi gani huo
hivi hayo makalio umeangalia kabisa ukaona ni ya mtanzania? hahahaha hapo wamechanganya picha tuuu
 
Back
Top Bottom