Nimecheka sana kusikia hilo "si wakuwekea dhamana"Haha harmorapa sio wa kumuekea dhamana muda wowote anakugeuka.
Bado majani sasa
hahahaha! mkuu harmorapa kiboko ya nini vile???WCB acheni fitna, mmefungua IDs huko instagram zenye jina la harmorapa then mnaitumia kutukana wasanii wengine ili kumshusha Harmorapa-kiboko ya mabishoo.
Lakini mkumbuke mmeshindwa kabla hamjaanza
[emoji2] km panya na msumeno anakata pande zote na tym hio hio anang'ata na kupulizaHaha harmorapa sio wa kumuekea dhamana muda wowote anakugeuka.
Bado majani sasa
Mimi Sikapendi hakahivi ana wimbo gani huyu?
HAHAHAHAHHAHAHAH ETI MKALI WA SOCIAL MEDIA!'
anajikuta star mwenyewe!
Kuna mpoli poli fulani muuza korosho wa mtwara kaja dar naye anajiona super starHuyo Jamaa ndio nani?
Acha kuleta ujuaji nenda kaangalie hata eatv wameipost wenyeweWCB acheni fitna, mmefungua IDs huko instagram zenye jina la harmorapa then mnaitumia kutukana wasanii wengine ili kumshusha Harmorapa-kiboko ya mabishoo.
Lakini mkumbuke mmeshindwa kabla hamjaanza