Huyu jamaa alikua vizuri mno, kipindi kile cha ngoma zake..
Aiyola
Matatizo
Kwangwaru
Enzi yuko wasafi na muda mchache baada ya kujitoa alikua anatoa ngoma nchi inastuka ila kwasasa jamaa anatoa boko sana.
Sasa hiki ni kinini na kingereza chake cha ajabu, kwa ufupi tu ni kua dogo anapotea.