Ila kiukweli sisi vijana ni marisk taker sana,hivi huyo wolper kweli ndio wa kujiopolea??Sina hakika Harmonize hata miaka 25 kafika.Afu kama sijakosea hata Diamond amemkula huyo bidada sasijui kama ni mwake kumpanda shemeji yako na hapo sijui kama tutafika umri wa kustaafu kwa hiari wa miaka 55.
Jamani nimeongea tu