Mtuflani Official
JF-Expert Member
- Dec 31, 2019
- 1,949
- 4,425
Huyo Rayvan atulize akili, juzi katoa nyimbo 5 leo anatuletea ujinga wake wa singeli, yaani kama anatapatapa hivi.
Ila pengine na yeye hapendi ila atafanyeje sasa na boss kasema.
Sent using Jamii Forums mobile app
Rayvanny anapigana proxy war! Huu mwaka kabla haujaisha boss ndo atatokezea mwenyewe. Sema wabongo wengi bado wamezibwa macho[emoji1787]
Naona konde boy umekuja huku kupiga kelele
Achani kulilia fanyeni kaziNilijua tu Babu Tale utakuja kwenye uzi wangu!
sasa hapo umeuliza nini?Hivi kumbe Harmonize anatoa nyimbo kwa ajili ya WCB? Au WCB wanatoa nyimbo kwa ajili ya Harmonize? Na sio fans tena?
Rayvan hajui mziki sijawahi kumtofautisha na best naso.Huyo Rayvan atulize akili, juzi katoa nyimbo 5 leo anatuletea ujinga wake wa singeli, yaani kama anatapatapa hivi.
Ila pengine na yeye hapendi ila atafanyeje sasa na boss kasema.
Sent using Jamii Forums mobile app
Lazima uongee hivyo cos unalipwa na kondeboy
Sijawahi kula hata senti 5 ya jamaa labda uko nyie mnaolipa kina **** lokole.Lazima uongee hivyo cos unalipwa na kondeboy
Unaongeaje kitu ambacho hata moyo wako unakusutaSijawahi kula hata senti 5 ya jamaa labda uko nyie mnaolipa kina **** lokole.
Sent using Jamii Forums mobile app