kwa comment hii na 'likes' ilizopata, natoa ushauri jukwaa hili watu watupie tu mapambio ya diaomond.....maana wengine km huyo harmonize na kiba hawatakiwi humu. yaani 'HAINISTUI' ni mbaya na 'BABA LAO' ni bonge la wimbo?!!!!!!!!!Jamani WCB itabaki pale top tu,Harmonize alipokua WCB alikua real super hit maker,sasa hivi karudi kama underground anae kuja vizuri.
Yani yupo kuimba vijembe tu sikiliza Kushoto kulia then njoo sikiliza hii Hainistui utagundua huyu kijana Kutoka WCB kume muathiri pakubwa mno mno.
Hivi harmonize ni wakuimba nyimbo kama Hainistui??????? Enock bella ataimba nini sasa??? muache aendelee ndio kashavurunda tena.
nyimbo mbovu kama hizo wenzake wanazivujisha wanajifanya hata hawajui zimetokaje,yeye anaachia rasmi kbsa anatia youtube huko, shauri lake.
Wanaume tunaongea kauli za kiume we unaleta mipasho hapa, kauli kama hzo tumezoea kuzisikia kwa mashoga.Hilo swali la kijinga kamuulize Mamako.Akikipa jibu,ungana na wenzako mkadai haki zenu.Umeongea Pumba tupu, Huo Mond Wako kila kukicha anatafuta Kik kwa Kiba..
Ebu taja wasanii wanaotafuta Kik kwa Wcb au Unabwabwa tu kama umetapika ulimi
Sasa mashoga wanahusika vipi hapa? Mda mwingine mkiishiwa hoja mkae kimyaaa co kutapika uharo km umeshiba makande lolWanaume tunaongea kauli za kiume we unaleta mipasho hapa, kauli kama hzo tumezoea kuzisikia kwa mashoga.Hilo swali la kijinga kamuulize Mamako.Akikipa jibu,ungana na wenzako mkadai haki zenu.
Haya ni maoni ya Mange kimambi mbona hujampa credit/hujafanya citation.😄😄😄Jamani WCB itabaki pale top tu,Harmonize alipokua WCB alikua real super hit maker,sasa hivi karudi kama underground anae kuja vizuri.
Yani yupo kuimba vijembe tu sikiliza Kushoto kulia then njoo sikiliza hii Hainistui utagundua huyu kijana Kutoka WCB kume muathiri pakubwa mno mno.
Hivi harmonize ni wakuimba nyimbo kama Hainistui??????? Enock bella ataimba nini sasa??? muache aendelee ndio kashavurunda tena.
nyimbo mbovu kama hizo wenzake wanazivujisha wanajifanya hata hawajui zimetokaje,yeye anaachia rasmi kbsa anatia youtube huko, shauri lake.
Mmakonde kawashika pabayaa, anakwambiaNgoma mbaya haistui
Manager wake mbovu SanaJamani WCB itabaki pale top tu,Harmonize alipokua WCB alikua real super hit maker,sasa hivi karudi kama underground anae kuja vizuri.
Yani yupo kuimba vijembe tu sikiliza Kushoto kulia then njoo sikiliza hii Hainistui utagundua huyu kijana Kutoka WCB kume muathiri pakubwa mno mno.
Hivi harmonize ni wakuimba nyimbo kama Hainistui??????? Enock bella ataimba nini sasa??? muache aendelee ndio kashavurunda tena.
nyimbo mbovu kama hizo wenzake wanazivujisha wanajifanya hata hawajui zimetokaje,yeye anaachia rasmi kbsa anatia youtube huko, shauri lake.
Eti anawaambia,Siku nyingine watu wakikusikia unasema hivyo watu watakudharau.
Dada sijajibu comment yako kilichokuuma ni nini.?? alieanza kumtusi mwenzie kati yangu na yeye ni nani?Sasa mashoga wanahusika vipi hapa? Mda mwingine mkiishiwa hoja mkae kimyaaa co kutapika uharo km umeshiba makande lol
Sent using Jamii Forums mobile app
Wasukuma mnatabu DIAMOND BABA YAKO
Sasa wewe na bob risky si mko sawa kojoa ukalale na ukasome shule dogoEti kuna mzazi anajisifu huko mtaani kwa kukuzaa
Nampa pole sanaa kuzaa toto dzain yko. Huna tofaut na james delicious..
Ahahahaaahahahahaha mpaka apige B12 ndio iwe hit kwako ahahahahahaaLazima ipigwe clouds ndio nyimbo iwe hit,hata kwangwaru sio hit,tetema sio hit,Inama sio hit ,yope sio hit.Mafioso bonge la hit limepigwa clouds
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa wewe na bob risky si mko sawa kojoa ukalale na ukasome shule dogo
[emoji16][emoji16]ila wabongo tuna roho mbaya sana sijui nani katurogaManager wake mbovu Sana
They should chose a good producer na Ni vyema wapande waandishi wazuri
Wimbo mbaya kabisa na hauna chochote
kwa comment hii na 'likes' ilizopata, natoa ushauri jukwaa hili watu watupie tu mapambio ya diaomond.....maana wengine km huyo harmonize na kiba hawatakiwi humu. yaani 'HAINISTUI' ni mbaya na 'BABA LAO' ni bonge la wimbo?!!!!!!!!!
kwamba 'hainistui' imejaa mipasho na 'baba lao' haina?!!!!!! hii dunia hii......nilitarajia mambo namna hii niyasikie huko mtaani, kumbe yapo hadi humu kwa 'great thinkers'?!!!!!
kumbe ni kweli watz bado sana sababu tuna 'husda' ile mbaya......
namtabiria makubwa harmonize.......chuki humuinua mtu wakati mwingine sababu malaika wema humlinda anayehujumiwa!.....ingawa mashetani pia hushinda wakati mwingine!
Sasa kama unajua hivyo mbona una act kiboya..?Nina watoto rika la huyo unayemuona ni baba ako. Means kwamba wew kwangu ni mjukuu. Kwa hiyo punguza upuuzi na ujinga wa kuita wakubwa zako ' dogo '
Kazi nyingine toka kwa hamo, Je unaipa alama ngapi kati ya 10?
Hata mm uwa namkubal uyu mwamba ila naona kama ngoma zake za iv karbuni anayumba kidogo naona kama anatafuta pakutokea wakat yeye n msanii mkubwa teyar mbona UNO n ngaoma kail sana NEVER GIVE UP pia n bonge la dude mpaka leo mtaan tunaish nalo 2 ATARUD Je ni dude kal kinoma..konde acha izi mambo bana we unajua sanaHarmo namkubali ila njia aliyoichagua sasa hivi itamletea madhara makubwa kwenye mziki plus chuki kuongezeka zaidi kwenye mziki wake.