Harmonize atafuta kiki kwa Hamisi Said mshiriki wa BSS

Mkuu hii ndio maana halisi ya uzi wa kipuuzi sio ile uliyosema siku ile kwenye poat yangu.
 
Je ulijua diamond angekuwa maarufu?,..je ulijua harmonize angekuwa maarufu Hadi wewe unamjua?..basi maisha ndo yalivyo..mwisho wetu hatuujui...
 
Nasikia hata harmonize katokea huko bss,halafu jamaa akamchukua baada ya kutolewa,na kipindi kile aliimba vibaya zaidi ya huyu.
 
jumalokole acha roho za kichawi.mmeo kazoea kutafuta kick kwa wananawake kick zinapatilana popot kasoro kwa mashoga tu.
 
Mwambieni huyo Harmonize arudishe video ya UNO youtube wengine tulikua hatujaiona.
 
Hiyo BSS ni mshindi gani ambae ana future kwenye muziki?! Yuko wapi Juma nne aliepewa gari? yuko wapi yule dada alieshinda akiwa mjamzito? BSS ni taasisi ya kupiga fedha za wafadhili tu kwa kigezo cha kuboresha vipaji lakini hamna kitu, ni wajasiriamali hao kina madam Ritha.
Ila kumbuka harmonize alikuwa mshiriki BSS tena walimkataa mapemaaaaa watz hatkuwai kumjua adi alipotoka kimziki ndo kuanza kumkumbuka, ni malengo na jitihada
 
Maskini na tusiokuwa bize ndo kazi zetu za unabii kwenye maisha ya watu tusishangae ya mleta uzi
 
Mleta mada nadhani umejiabisha sana,base on mada yako yaonesha unamchukia sana Harmonize na naamini wewe ni mdada Mana wanaume hatuna tabia hiyo na Kama wewe ni mwanaume basi utakua uko upande wa pili wa kiumeni.

What if huyu dogo angechukuliwa na Diamond, ungeleta upuuzi wako huu?

Jiheshimu Dada/Kaka
Dada powa huyo
 
Hiyo BSS ni mshindi gani ambae ana future kwenye muziki?! Yuko wapi Juma nne aliepewa gari? yuko wapi yule dada alieshinda akiwa mjamzito? BSS ni taasisi ya kupiga fedha za wafadhili tu kwa kigezo cha kuboresha vipaji lakini hamna kitu, ni wajasiriamali hao kina madam Ritha.

Bss huwa sielewi wanachokifanya kabisa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom