Inategemeana na mademu wa aina gani alionayo.Q Chief mademu wake ni aina ya wale wapanda Bodaboda manake hakuwa na gari.Mademu wa aina hiyo wakiona gari wanapagawa,haijalishi hiyo gari umeipataje,aina gani au ina hali gani!
Wametafuta wenyewe so njia ya kutafuta hela ili wajenge baadae unakuta mtu changamoto ni usafiri sasa chillah ni mgonjwa wa unga ndugu yng afanyi kazi ya mziki kwa uhakika ingawa ni msanii mwenye uwezo mkubwa sana na ana stress nyingi kwa maisha gari zuri mwanzo mwisho wake mbaya sijasema gari sio muhimu kwa chilla ila kwa sasa msaada kumtoa kwenye tatizo la unga then vingine vifate