Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 17,463
- 21,181
Embu soma vizuri ulichokiandika uone unavyojikanyaga mwenyewe.Harmonize hajawai kukataa kupokea mkono wa Alikiba.
Ila hakumpa mkono alikiba baada ya Alikiba kukaakupokea mkono wa Diamond ( may be alihisi na yeye wa kwake utakataliwa ).
Source: Kumbe kisa Diamond: Harmonize aeleza sababu ya kutompa mkono Alikiba - Bongo5.com
Ukileta hiyo video ya kiba na konde boi unitag.Embu soma vizuri ulichokiandika uone unavyojikanyaga mwenyewe.
Blowjob za mabaharia zimekuharibu kabisa akili. Uelewa zeroEmbu soma vizuri ulichokiandika uone unavyojikanyaga mwenyewe.
HaswaaaKwa hiyo unamaanisha malipo ni hapa hapa duniani
Soma vizuri ulichokiandika.Acha uongo lokole,harmo hajawahi kukataa kumpa mkono kiba bali domo alipewa kiwiko
Soma vizuri ulichokiandika.
HujielewiSoma vizuri ulicholalamika
Hujielewi
kwa mentallity ya salam leo,dogo hermo hakua na budi ya kuwa na mabodyguard..Wasanii wapuuzi tu hadi kwenye mazishi ni kiki,mazishi ya ruge wcb walienda kutafuta kiki huku wameingia na mabaunsa kibao kuvuta attention ya watu.
Leo tena inashangaza kwenye msiba Diamond kasimamiwa na mabaunsa na harmo kasimamiwa na mabaunsa pia,mtu anakaa mabaunsa wanamsimamia kwa nyuma,aisee wasanii hii tabia za kufanya kiki kwenye misiba ni upuuzi
Eti Bosi Sallam, Uwaga unawatawaza mbwa wake nini,?