Hako majamaa kajinga sana,wanaume wa Dar hebu Katie makwenzi kana wa dhalilisha.Staa mwenye Bongofleva yake, Konde wa ‘31’ @harmonize_tz kwenye Exclusive Interview na AMPLIFAYA ya CloudsFM, ameeleza wazi kwamba aliachana na Mchumba wake Mwigizaji Kajala miezi mitatu iliyopita na kwamba sio jambo analojivunia ndiyo maana amekuwa kimya.
Konde Boy ameongea haya wakati wa mahojiano hayo EXCLUSIVE yaliyofanyika kwa ajili ya kuipokea album yake mpya iitwayo ‘31’ ambayo ameiachia usiku wa kuamkia leo.
Je, itakuwa X harudiwi au X hana talaka?
HuYu MSHenzi hawezi ongea kiswahili akanyooka...Staa mwenye Bongo Fleva yake, Harmonize kwenye Exclusive Interview na AMPLIFAYA ya CloudsFM, ameeleza wazi kwamba aliachana na Mchumba wake Mwigizaji Kajala miezi mitatu iliyopita na kwamba sio jambo analojivunia ndiyo maana amekuwa kimya.
Konde Boy ameongea haya wakati wa mahojiano hayo EXCLUSIVE yaliyofanyika kwa ajili ya kuipokea album yake mpya iitwayo ‘31’ ambayo ameiachia usiku wa kuamkia leo.
Je, itakuwa X harudiwi au X hana talaka?
Pia na jiuliza ila kwa mbali kama ki englishLugha gani hii?
Umario ni kipaji cha kuzaliwa nacho. Hata uwe na hela kiasi gani. Mzoea vya kunyonga vya kuchinja haviweziJamaa anahela anashindwa kupata mtoto mzuri akaoa?
Watoto wa kike wanamaliza shule kila mwaka lakini yeye na wabibi tu