Time Traveller
JF-Expert Member
- Nov 16, 2016
- 314
- 303
Habari za muda huu wana Jamii forums. Nauza internal hard drive ya desktop yenye ukubwa Wa GB 4000 tera byte 4. Hii inafaa sana ofisi zinazohitaji space kubwa kuhifadhi data mbalimbali. Pia inawafaa wapenda tamthiliya na movies mbalimbali kwani inakupa nafasi ya kuhifadhi tamthiliya upendazo. Bei ni laki 3 tu. Na tunakufungia kwenye desktop yako. Tunapatikana Dar-es-salaam
Kwa mawasiliano zaidi.
0710 304035.
Kwa mawasiliano zaidi.
0710 304035.