Watz yanayotuponza ni Mengi mno, kwa mtazamo wangu binafsi moja ni lishe duni ya wachezaji wetu uwanjani wanapwaya sana, pili ni mfumo mbovu wa upatikanaji wa wachezaji wa timu ya taifa, tatu ni tatizo la lugha au communication barrier kati ya wachezaji na kocha inawezekana wanashindwa kumwelewa kocha, nne watz tunapenda maisha ya short cut mno hatupendi kuhumiza kichwa tunapenda sana kubebana na kubebwa bebwa , tano watz tunahamini sana ushirikina yaani kila jambo tunataka kumshirikisha mganga wa jadi mpaka mpira tunatumia miti shamba wakati mpira ni hesabu tu, ndio maana raisi wa dar kaomba kwenda misri apeleke dawa zake ili tushinde, mambo mengine ambayo ni kama minor issues kwangu ni pamoja na ufisadi kuanzia kwenye vilabu vyetu mpaka TFF, wizara n.k, nyingine ni ufinyu wa budget japo hii sio sababu ya msingi kwani nchi kama Zimbabwe wana njaa lakin wanafanya vizuri au nchi kama Burundi utasema wanabudget kutuzidi? Hii nimeiongezea kwa kigezo cha wizara kushindwa kutenga budget I ya kushiriki mashindano ya AFCON wakati inayo calendar ya FIFA ya mwaka mzima huu ni uzembe mkubwa sana alafu tunakuja kuchangishana hapa. Hebu fikiria timu zitakazo fuzu mpaka mwisho zitaingizia fedha kiasi gani nchi zao.Afcon 2019 most anticipated game ni Kati ya watani wa jadi Kenya na Tanzania. Je ni Nani atambwaga mwenziwe chini?
Leo haki ya Nani Harambee ikitwanga Taifa Stars, hakuna lolote Mtzee atawahi niambia joto la jiwe , MOTOCHINI mkorinto REDEEMER. Geza Ulole game over ichoboy01 tuusan
Pia maombi ya majirani ni hayo hayo.Hopefully tutawapiga Harambee stars kipigo cha mbwa koko.
Hiyo kaka ni ndoto ya mchana.Hopefully tutawapiga Harambee stars kipigo cha mbwa koko.
Wakenywa lazima walieHarambee tunawafunga bila shida tena mapema
Si leo labda kwenye mechi nyingine, Leo mfugashe virago mrudi Dar kimya kimya.Hopefully tutawapiga Harambee stars kipigo cha mbwa koko.
Hapa pia tupo gangari atakayeshindwa akwende nyumbani.Nasubiri kuona Ilani ya ccm ikitekelezwa kupitia Taifa Stars...
Yetu macho
Mtanisamehe ndugu zangu, pesa kwanzaView attachment 1140534
Washakula kimojaAsante taifa stars asante msuba