Hao Djibouti wametoka kufungwa na Uganda juzi bao 13 - 0Kuvunja rekodi Kama kawaida.
Oyaaa!! Ina maana kila mmoja wao alipata fursa ya kwenda kufunga bao, nakumbuka michezo yetu utotoni, kuna kipindi tulifunga mabao hadi kipa wetu akatuomba fursa naye akafunge la kwake, tulimuandalia mashambulizi hadi akafunga bao.
Hongera sana dada zetu, ila huko Dar mkae mbali na haya mafisi ya JF ambayo huja kuisema nchi yetu vibaya......hehehehe
Sasa unazan kuifunga Djibouti ndio kuifunga TZ eee ?, ngoja mda mfike utaikataa hiyi timu yako
Tatizo kwenu uchawi ndio kila kitu, na sielewi kwanini hamtumii huo uchawi kushinda kombe la dunia
https://www.facebook.com/
Tatizo kwenu uchawi ndio kila kitu, na sielewi kwanini hamtumii huo uchawi kushinda kombe la dunia
https://www.facebook.com/
Tatizo kwenu uchawi ndio kila kitu, na sielewi kwanini hamtumii huo uchawi kushinda kombe la dunia
https://www.facebook.com/
Hehehe huwa una matatizo gani, sindano ikikuingia unaishia ku-quote mtu mara kumi kwa mpigo.Hivyo ee tukishinda sisi uchawi mukiwafunga hao vilazi kipaji
Nyinyi mumewafunga ngapi?Hao Djibouti wametoka kufungwa na Uganda juzi bao 13 - 0
acha sifa za kijinga....
Siku tukikutana na nyie ndo utajua tunaweza kuwafunga ngapi Djibout.Nyinyi mumewafunga ngapi?
Mlifunga Libya ngapi Kwanza tuanze hapo...I was wondering why the big silence kumbe πππSiku tukikutana na nyie ndo utajua tunaweza kuwafunga ngapi Djibout.
Refa alitunyonga lakini bado tuko vizuri. Wakija kwa Mkapa tutawanyosha.Mlifunga Libya ngapi Kwanza tuanze hapo...I was wondering why the big silence kumbe [emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1267338
Kenya ina points mbili tu!! safari hii hamna mchekee wa timu kuondolewa kwenye kundi kama last time. Mnashikwa matako nyumbani na Togo waliofungwa kwao na Comoro! Nyie bakini na riadha tu, mchezo wa vibaka.Mlifunga Libya ngapi Kwanza tuanze hapo...I was wondering why the big silence kumbe [emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1267338
Tumeshinda mechi moja, tuko na magoli matatu na point tatu,Mlifunga Libya ngapi Kwanza tuanze hapo...I was wondering why the big silence kumbe πππView attachment 1267338
Mbona umetaja tu riadha jombaa, wakati Kenya ni mabingwa kwenye michezo mingine kadhaa ya 'vibaka'? Km. kwenye Raga wakenya waliibuka mabingwa wa bara hili na wakafuzu pia kushiriki kwenye 2020 Tokyo Olympics.Kenya ina points mbili tu!! safari hii hamna mchekee wa timu kuondolewa kwenye kundi kama last time. Mnashikwa matako nyumbani na Togo waliofungwa kwao na Comoro! Nyie bakini na riadha tu, mchezo wa vibaka.