martyr2012
JF-Expert Member
- Jul 18, 2012
- 603
- 245
Wewe ni nani mpaka uambiwe?
Wewe ni nani mpaka uambiwe?
Hio inaitwa backup
Wanajarib kufidia gharama za kununua watu
Na kukinunua chama
Wameshagundua hawapati kitu
Nasikia pia kuna harambee zaid ya tano zinakuja
Lengo n hilo hilo
Watanzania wapumbavu ndio waliwao
Uliza fedha za harambee ya M4C ziko wapi uone kama hujaitwa msaliti
Tumechangia sana na wote tuliyo changia hatuwezi kubadilika tena kura ni kwa lowassa
Wakati wanamuomba michango walidhani yeye ni nani?
"Matako kulia mbwata" ndo hii
Hahahah I agree, yaan ukawa bana ukijifanya ww mfutiliaji wa mambo ya ndani ya ukawa bac ww msaliti watakuzushia masoo mpak utaama chama mwenyew