G GWASHIMBA Member Joined Dec 16, 2012 Posts 5 Reaction score 1 Dec 20, 2012 #1 Vjana tujiulize ni faida gani tunaipata binfsi ktk mapambano yetu ya ukombozi wa taifa hili,Au hasara gani wataipata watanzania wanyonge ktk jamii yako kwa chama dhalimu kuendelea kutawala?
Vjana tujiulize ni faida gani tunaipata binfsi ktk mapambano yetu ya ukombozi wa taifa hili,Au hasara gani wataipata watanzania wanyonge ktk jamii yako kwa chama dhalimu kuendelea kutawala?