Hata hao Wazee waliofanikiwa wakiwa vijana
ukiwarudisha ujana harafu uwalete hizi Zama hawatoboi Kaka.
Bush kilimo hakilipi Ardhi ya sasa bila mbolea hutoboi tofauti na zamani Rutba ya Ardhi ilitoisha.
Town biashara haziendi kila MTU kawa mfanya biashara kwahyo utamuuzia Nani bidhaa hizo wengi wanazo.
Bidhaa za Masazao ya asili mfano Asali pia vimekua adimu kutokana na Mabadiliko ya tabia za Nchi.
Kiufupi mambo yameharibika π