Harakati za maisha

Sawa kwanini sasa anataka nimuombe ? Kwani yeye hajui mimi nachostahili kukipata?
 
Sawa kwanini sasa anataka nimuombe ? Kwani yeye hajui mimi nachostahili kukipata?
Madam

Anajua unachostahili kukipata ndio maana hutupa riziki kwa wakati sahihi, mfano huenda ww au mm tukataka kipato kizur kwasasa lkn huenda ndio ikawa maangamizi yetu,kwanini nasema hivyo? mathalan mm ni mwanaume huenda nikiwa na kipato cha kutosha kwasasa huenda nikabobea ktk anasa na atimaye nikapata ya kuyapata, kuepushwa na hayo nitapunguziwa riziki na kupata mahitaji muhimu tu.

Lkn huenda huko baadae baada ya kuwa nimekomaa kifikra na kuwa na maamuzi sahihi nikazidishiwa zaidi.

Kwanini tunamuomba Mungu?

Ni kuonyesha sisi ni wahitaji na katu hatumiliki chichote kwani hakika yote tuyapatayo ni kwa neema zake.

Na

Allah atawaadhibu watu ambao wamepinga ibada yake ya kuomba kwasababu wanajifanya wana kiburi mbele ya mola wao
 
Sawa sawa
 
Hapo ni kujiajiri tu mkuu usiumize kichwa,sisi tulishazoea kitamba namba yanaenda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…