Chukua hii kutoka kwangu,jambo la ridhiki latoka Kwa Mungu,yeye humzidishia ridhiki amtakaye katika waja wake na yeye ndiye humpunguzia amtakaye ktk waja wake.
Ndio maana kuna wanao pambana sana lkn mwisho wa siku wako palepale lkn ikifika mda wake anatoboa na kuna yule si mpambanaji sana lkn akifanya jitihada kidogo Anatoboa.
Sisi Kama wanadamu tunatakiwa tuchukue sababu ya kutafuta lkn mtoaji wa ridhiki ni Allah hivyo huna sababu ya kumuonea mtu wivu au husda Coz hajapata kwa ujanja wake na aliyekosa hakukosa kwa ujinga wake.
Omba mungu toka moyoni acha kusali kinafki [majaribu]Kama kijana mpambanaji__
Bado najiuliza sana (vijana wenzangu hembu leo tugeane code) (siri) inakuaje kijana alisoma miaka mingi-anavyeti vyenye alama nzuri -hana pakushika -kuna wengine tunapambana miaka nenda rudi bado hatuoni hata dalili yakutoboa
__ila unakuta kujana mdogo (under 30) anamiliki vitu vya thamani (hapo hajasoma kuhusu familia yao ni duni tu) yeye ndo anahela
__tugeane mbinu (code)kama vijana tunafanikiwaje --najua humu kuna vijana wengi waliotoboa maisha wala sio kwa kusoma (wala si pesa zaurithi )
Tafuta spiritual power kwanza then anza kutafuta cha kufanya.
Una safari ndefu sana chiefChukua hii kutoka kwangu,jambo la ridhiki latoka Kwa Mungu,yeye humzidishia ridhiki amtakaye katika waja wake na yeye ndiye humpunguzia amtakaye ktk waja wake.
Ndio maana kuna wanao pambana sana lkn mwisho wa siku wako palepale lkn ikifika mda wake anatoboa na kuna yule si mpambanaji sana lkn akifanya jitihada kidogo Anatoboa.
Sisi Kama wanadamu tunatakiwa tuchukue sababu ya kutafuta lkn mtoaji wa ridhiki ni Allah hivyo huna sababu ya kumuonea mtu wivu au husda Coz hajapata kwa ujanja wake na aliyekosa hakukosa kwa ujinga wake.
Nadhani aanze na cha kufanya ndio atafute hizo spiritual powers. Tofauti na hapo atasota sanaTafuta spiritual power kwanza then anza kutafuta cha kufanya.
Sisi shida yetu ni hela sio ridhiki, hayo mambo ya ridhiki awwape waje wake, ila sisi tunataka hela baaaasi, halafu unaposema kwamba anampa amtakaye,na kumnyima asiyemtaka, unamaanisha nini? Kwamba huyo mungu aliumba ili achague au?? Sasa kama anakupa anachotaka kwanini anataka uombe unachotaka???Chukua hii kutoka kwangu,jambo la ridhiki latoka Kwa Mungu,yeye humzidishia ridhiki amtakaye katika waja wake na yeye ndiye humpunguzia amtakaye ktk waja wake.
Ndio maana kuna wanao pambana sana lkn mwisho wa siku wako palepale lkn ikifika mda wake anatoboa na kuna yule si mpambanaji sana lkn akifanya jitihada kidogo Anatoboa.
Sisi Kama wanadamu tunatakiwa tuchukue sababu ya kutafuta lkn mtoaji wa ridhiki ni Allah hivyo huna sababu ya kumuonea mtu wivu au husda Coz hajapata kwa ujanja wake na aliyekosa hakukosa kwa ujinga wake.
Spiritual power inapatikanaje mkuu?
Lazima aanze na spiritual power then aanze kusikiliza intuition yake kipi afanye na wapi aende.Nadhani aanze na cha kufanya ndio atafute hizo spiritual powers. Tofauti na hapo atasota sana
VizuriChukua hii kutoka kwangu,jambo la ridhiki latoka Kwa Mungu,yeye humzidishia ridhiki amtakaye katika waja wake na yeye ndiye humpunguzia amtakaye ktk waja wake.
Ndio maana kuna wanao pambana sana lkn mwisho wa siku wako palepale lkn ikifika mda wake anatoboa na kuna yule si mpambanaji sana lkn akifanya jitihada kidogo Anatoboa.
Sisi Kama wanadamu tunatakiwa tuchukue sababu ya kutafuta lkn mtoaji wa ridhiki ni Allah hivyo huna sababu ya kumuonea mtu wivu au husda Coz hajapata kwa ujanja wake na aliyekosa hakukosa kwa ujinga wake.
VuzuriChukua hii kutoka kwangu,jambo la ridhiki latoka Kwa Mungu,yeye humzidishia ridhiki amtakaye katika waja wake na yeye ndiye humpunguzia amtakaye ktk waja wake.
Ndio maana kuna wanao pambana sana lkn mwisho wa siku wako palepale lkn ikifika mda wake anatoboa na kuna yule si mpambanaji sana lkn akifanya jitihada kidogo Anatoboa.
Sisi Kama wanadamu tunatakiwa tuchukue sababu ya kutafuta lkn mtoaji wa ridhiki ni Allah hivyo huna sababu ya kumuonea mtu wivu au husda Coz hajapata kwa ujanja wake na aliyekosa hakukosa kwa ujinga wake.
Naomba utufafanulie zaidi maana hili neno ulilotumia Lina maana nyingi sana.Lazima aanze na spiritual power then aanze kusikiliza intuition yake kipi afanye na wapi aende.
Bealive in the best
Madam, kwanza sijui unaelewa nini khs riziki?Sisi shida yetu ni hela sio ridhiki, hayo mambo ya ridhiki awwape waje wake, ila sisi tunataka hela baaaasi, halafu unaposema kwamba anampa amtakaye,na kumnyima asiyemtaka, unamaanisha nini? Kwamba huyo mungu aliumba ili achague au?? Sasa kama anakupa anachotaka kwanini anataka uombe unachotaka???
There's so fucking faith.