Usitutoneshe vidonda vinakaribia kuponaHarakati kabambe za kampuni ya Namaingo Businesy Agency LTD kuhimiza kilimo biashara kwa wananchi.
Ulikuwa ukaguzi wa mradi wao wa shamba darasa la viazi lishe february 2018 wilayani Mkuranga Mkoa wa Pwani..
Usitutoneshe vidonda vinakaribia kupona
Harakati kabambe za kampuni ya Namaingo Businesy Agency LTD kuhimiza kilimo biashara kwa wananchi.
Ulikuwa ukaguzi wa mradi wao wa shamba darasa la viazi lishe february 2018 wilayani Mkuranga Mkoa wa Pwani..
Hivi bado mnaendelea???
Kala 150 elf yanguYule mama nawe amekupiga? Pole sana
Kala 150 elf yangu
Mm nadham kala kama 300,000/= flan hiv yule mama sema pale ndio nilipojifunza kuwa hakuna atakaye hangaika akuletee maendeleo ww ufaid kirahis tu..nikasamehe na kujiona fala mm then maisha yamaendelea..ππKala 150 elf yangu
Mijinga inatapekiwa na mama std seven yenyewe INA madegree
Jamani hebu naomba heads up namna yake ya utapeli ili mtusaidie kujihadhari.Hii kampuni ni ya kitapeli
MCHEKA KOVU ...............JERAHAMijinga inatapekiwa na mama std seven yenyewe INA madegree
Wale walikuwa Matapeli tu. Maana hiyo miradi yao walianzisha Tz nzima kwa mkupuo kama walikuwa na lengo zuri kwanini wasingeanza na mikoa ya mfano?Pale niliongeza shule, hahahahaa
Bado najiuliza, kwanini bado hajafungwa hata awamu hii ya tano?
Kuna watu wa kipato cha chini kawasababishia matatizo makubwa sana, aliwapa ahadi za asali na maziwa, wakavunja vibubu, kwa kutegemea neema, wameishia kuambulia maumivu.
Mwanzoni huenda alikua na nia ya dhati kusaidia watu, utamu wa pesa na tamaa ukaingia katikati ikageuka kuwa biashara ya kumnufaisha zaidi yeye tofauti na mahubiri ya awali.
Kala 150 elf yangu
Mm nadham kala kama 300,000/= flan hiv yule mama sema pale ndio nilipojifunza kuwa hakuna atakaye hangaika akuletee maendeleo ww ufaid kirahis tu..nikasamehe na kujiona fala mm then maisha yamaendelea..ππ
Pole pole basi babaangu, mijiwe unayorusha inatua kwenye mioyo ya watu π π πMijinga inatapekiwa na mama std seven yenyewe INA madegree