Ninayo 40000Duuh!! Panda kidogo dau mkuu, nina shida na pesa ila mmmh..
Mkuu vipi frem yako uliyokuwa unafanyia biashara bado ipo?Mzani wa mawe aina ya KULUBI super Close Body wenye Uzani kuanzia 0kg hadi 10kg nauuza.
Upo kwenye hali nzuri saana, nilikuwa nautumia dukani (Nimeutumia almost one year) . Baada ya kufunga biashara ndo nimeamua kuuza.
Kwa anayeuhitaji namuomba tuwasiliane PM.
Bei yake: 85,000/-Tshs
Location: Kibamba
Kama unavyoonekana.
Pole mkuuMkuu ilibomolewa na TANROADS aisee
Lipo bomba linapiga mzigoMkuu friza inapiga kazi vizuri?!.... Nakukumbuka bado!