Nahitaji Toyota Vitz nina 5ml maongezi yapo mpaka gari niione,Namba kuanzia B...
Zinahitajika Land Rover Diffender Station Wagon 2 zilizo simama offer 30ml namba nazenyewe ziwe B
Mwenyekusikia, kuwanazo ani PM Tafadhari tufanye Biashara Utani sihitaji huwe seriously!!RANGI HAIJALISHI.
Ninasubiri kutoka kwenu asanteni.