Hongereni mama zetu, dada zetu, wake zetu nk kwa ajili ya hii siku yenu. Tunawapenda, tunawajali, tunahudumiana nk, hakika ninyi ni muhimu katika maisha ya familia zetu na uhai wa taifa na dunia kwa ujumla.
Kila la kheri na Mungu awabariki sana katika kila lilo jema na mpende kutenda kulingana na mapenzi yake daima.