Happy Valentines HoloHolo na kila la kheri kwenye ndoa yako leo.dosho12 Seran leo dada Binti wa zamani hamful mko wapi au ndio tuseme mnavalentinika asubuhi asubuhi na mapema?
Wakuu, furahia siku ya wapendanao leo. Mimi ni siku ya ndoa yangu,tunaoana na kipenzi changu.
Ndoa inafanyika kahama nyakato mwisho nawakaribisha tusherekee valentine na harusi yangu,usimsahau yule umpendae. Unasherehekea Valentine' s ukiwa wapi?
Mimi ni siku mtu ninayempenda sana amenikaribisha kwake anichunuku, value you Lamomy wanguWakuu, furahia siku ya wapendanao leo. Mimi ni siku ya ndoa yangu,tunaoana na kipenzi changu.
Ndoa inafanyika kahama nyakato mwisho nawakaribisha tusherekee valentine na harusi yangu,usimsahau yule umpendae. Unasherehekea Valentine' s ukiwa wapi?
Lamomy wangu, mawazo yako yapo sahihi maana imeandikwa; mwanamke huwa hapendi ila huwa anapendwa. Mdogo mdogo tutafika tu.๐น๐น๐น Nikutunuku??
Mi nakuzingua usije ukafall in love kiukweli bure..!!