Happy Oscars night

haya masofa kama yangu niliyonnua laki nne
 
White house nako full usanii, mama pia kapresent oscar award.......
 
Ni sawa tu na wabunge wetu kuwakaribisha wachezaji bungeni. Wote hamnazo!
 
Mambo ya Blue Ray hayo...wenzetu wameishaenda mbali sisi tunaendelea na kukamuana kwa rushwa...na wachache kwenda juu kutuacha walalahoi tukiwa hoi... Ndo maana wenzangu tunashindwa hata kutoa comments hapa hatuelewi kinachoendelea kwenye hii picha
 
hiyo miwani inaashiria nini...ufafanuzi tafadhali comrade Mbuzi Mzee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…