Happy new year to all membera

Asante Mungu maana wapo walioitamani sana kufika/kuiona siku hii na hawakufika, sina nilichokupa na ninamapungufu mengi kuliko mema lakin Mungu wangu umenichagua kuuona mwaka 2018.
 
True..ni kwa Neema tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…