Happy New Month

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,894
155,916
Nawatakia kila la heri kwenye huu mwezi mpya ambao unaanza na siku ya ukimwi duniani.
Please play safe sio krismas na mwaka mpya tu ila kila siku
 
Nawatakia kila la heri kwenye huu mwezi mpya ambao unaanza na siku ya ukimwi duniani.
Please play safe sio krismas na mwaka mpya tu ila kila siku

Kwa WanaJF wote:

Hawa watu wawili ndio waathirika wa Ukimwi ambao wameacha ujumbe wa Ukweli kuhusu AIDS:

1. Phil Bongoley Lutaaya : http://www.musicuganda.com/Philly%20Lutaaya.html

2. Nkosi Johnson : ieterna.net/archive-pdf/nonfiction/autobiography/Nkosi%20speech.pdf

Unaweza kuwa-google kwa taarifa zaidi

Ujumbe wa mwaka huu ni:

Many Lights for Human Rights
 
Mwezi wa kujifanyia review kuhusu mtiririko mzima wa kimaisha kwa muda wa mwaka mzima uliopita...
 
Pia tukumbuke kuwa kadiri siku zinavyosonga mbele, ndivyo tunavyozidi kuikaribia ile siku yetu ya kufa.
 
Msikamue sana VIJANA tehe! hasa wale watakaokwenda kuhiji kule MIGOMBANI aka MOSHI
 
Msikamue sana VIJANA tehe! hasa wale watakaokwenda kuhiji kule MIGOMBANI aka MOSHI

taratibu dugu mtuache tupumzike kila siku wachaga mbona stendi ya mkoa mabasi yote yanajaaga na hayakwendi moshi
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…