Happy New Month

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,318
153,799
Nawatakia kila la heri kwenye huu mwezi mpya ambao unaanza na siku ya ukimwi duniani.
Please play safe sio krismas na mwaka mpya tu ila kila siku
 
Nawatakia kila la heri kwenye huu mwezi mpya ambao unaanza na siku ya ukimwi duniani.
Please play safe sio krismas na mwaka mpya tu ila kila siku

Kwa WanaJF wote:

Hawa watu wawili ndio waathirika wa Ukimwi ambao wameacha ujumbe wa Ukweli kuhusu AIDS:

1. Phil Bongoley Lutaaya : http://www.musicuganda.com/Philly%20Lutaaya.html

2. Nkosi Johnson : ieterna.net/archive-pdf/nonfiction/autobiography/Nkosi%20speech.pdf

Unaweza kuwa-google kwa taarifa zaidi

Ujumbe wa mwaka huu ni:

Many Lights for Human Rights
 
Mwezi wa kujifanyia review kuhusu mtiririko mzima wa kimaisha kwa muda wa mwaka mzima uliopita...
 
Msikamue sana VIJANA tehe! hasa wale watakaokwenda kuhiji kule MIGOMBANI aka MOSHI
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom