happy hour

coyyal

Member
Joined
Mar 7, 2012
Posts
14
Reaction score
3
Leo ni birthday ya mmiliki wa Calabash, hivyo saa 12 watu 50 wa mwanzo kinywaji cha kwanza bure
 
popote unapotoka unatakiwa uelekee mwenge...then fika sehem maarufu wanatengeneza vinyago...opposite ndio calabash...samahani nimekua na kiherehere...lol
 
Leo ni birthday ya mmiliki wa Calabash, hivyo saa 12 watu 50 wa mwanzo kinywaji cha kwanza bure

coyyal ntakuwepo hata kama sio kwa kuwahi icho kimoja cha kwanza!..
 
dogo...njoo nikupeleke...
lol...usisikie bure...ohooo...karibu huku ndio TANZANIA bana kila siku ni weekend...
Kwanza nina wasiwasi hata wewe hupajui....ngoja nanii atanileta we sikuamini hata kidogo
 
Jamani si kuna kipindi thread ilianzishwa humu kuwa mmiliki wa calabash amefariki? Sasa ni huyo huyo anafanyiwa birthday au alierithishwa umiliki?
 
Jamani si kuna kipindi thread ilianzishwa humu kuwa mmiliki wa calabash amefariki? Sasa ni huyo huyo anafanyiwa birthday au alierithishwa umiliki?
Ni kweli kabisa...mmiliki wa Calabash ni marehemu!
Anayeisimamia sasa ni papaa mmoja halafu yupo hapa JF, bdei yake leo!!
Gues who!!
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…