Happy friendship day dears!!!!!!!!!!!!!

mambo rafiki wa damu?
Nashukuru kwa salamu,
Zilizofurika utamu,
Na kamwe haziishi hamu.
 
Last edited by a moderator:
Asante mamito, natumaini Mungu anazidi kukupendelea kwa mibaraka tele.
Happy late friends day.
 
Another month. Another year.
Another smile another tear.
Another winter and another summer too
But there can never be another you best friend.

Thanks rafiki...you a truly a friend
 
Asante mamito, natumaini Mungu anazidi kukupendelea kwa mibaraka tele.
Happy late friends day.

nawewe pia mamito Mungu asifumbe jicho lake juu yako wala asizibe sikio lake kuskiliza maombi yako.
Mungu akujali kila la heri na azikumbuke sadaka zako zote.
 

Ahsante mjukuu wangu....

Nawamiss sana ila ndo hivyo tena.....

Inshallah, mola akipenda tutaonana soon....

Salamu kwa wote akiwemo gfsonwin ...(hata kama kanisahau..lol)

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Ahsante mjukuu wangu....

Nawamiss sana ila ndo hivyo tena.....

Inshallah, mola akipenda tutaonana soon....

Salamu kwa wote akiwemo gfsonwin ...(hata kama kanisahau..lol)

Babu DC!!

Inshallah Mungu yu mwema babu....

Naamini itakuwa soon baada ya ramadhaaan

Mekumiss sana
 
gfsonwin i'm so happy kunikumbuka my lovely sister,i'm proud of you
 
Last edited by a moderator:
Ahsante mjukuu wangu....

Nawamiss sana ila ndo hivyo tena.....

Inshallah, mola akipenda tutaonana soon....

Salamu kwa wote akiwemo gfsonwin ...(hata kama kanisahau..lol)

Babu DC!!

babuu mie tena nikusahau wewe??
siwez bana ila si unajua kwasasa niko wapi??
halafu wewe............................msalime sana @chuachakara
 
mambo rafiki wa damu?
Nashukuru kwa salamu,
Zilizofurika utamu,
Na kamwe haziishi hamu.
My ndugu Kaunga mimi bukheri wa afya namshukuru Mungu kwa wema usio kifani hasa kwa kunijalia kuwa na ndugu kama wewe . Pia nikutakie happy belated friendship day, take care.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…