Happy friendship day dears!!!!!!!!!!!!!

siwezi kusema nawe pia cause hujanitaja....na mimi nakutakia siku njema ya urafiki...love u everyday

mamii u mdogo na afiki yangu jamaniiiiiiiii
love you the most dearest!!
 
BAK umenikoshaje sasa??
kweli u rafiki wa kweli.
LOVE YOU MY DEAREST!!
 
Last edited by a moderator:
Reactions: BAK
kwamba sikuchukii, kwangu mimi yyte nimpendaye ni rafiki yangu hata kama yy hafeel kuwa rafiki kwangu.

Kama hiyo ndio definition ya rafiki, basi kwangu italazimika kusema dunia nzima ni rafiki yangu, maana sina hata mmoja nimchukiae

Na ikiwa hivyo, basi sidhani kama kutakuwa na mantiki yoyote ya kuwa na "siku ya marafiki"

Maana ni kila mtu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…