Mke:mme wangu hapo mtaa wa pili kuna shughuli gani? Maana nasikia shamrashamra
Mme:itakuwa hepi besidei
Mke:hee! Ya nani?
Mme: itakuwa ya tuyu maana nimesikia wanaimba "hepi besidei tuyu"