Naanza anza jf nilikua nashinda mno jukwaa la Nafasi za kazi na tenda, huko nilikua nakuta Ushimen analeta nyuzi za ajira kila siku, huku akitoa miongozo ya namna ya kuomba.
Ingawa siku hizi ameacha, lakini mdau ana roho ya kipekee sana.
Happy Birthday Mkuu.
Ila shikamoo yangu utaanza kuipata baadaye kidogo.