Momma espy; As you mark your birthday, I wish you all the best of this world. Mungu akazidi kukubariki kwa baraka zote za rohoni na za mwilini, ukapate kibali mbele zake na mbele za wanadamu....May your territory be increased darlin.
Ukazidi kufanyika mama bora, mke mwema, mwalimu mwema, dada mzuri, rafiki wa kweli na kijana mwema kwa wazee wako na taifa. Ukazidi kufanyika kuwa baraka kwa wale wote wanaokuzunguka na watakaopita katika maisha yako. You shall live long to testify the greatness of Our Mighty God of Israel. Happiest birthday sistafriend, you know venye nakupendaga zaidi ya jana[emoji182] [emoji182]
Haha hapana shemeji sidhani kama nina talanta hiyo, nabarikiwa zaidi kusikiliza na kujifunza kutoka kwa wengine.Mhhhh Ameeen!
Hivi at any stage have you ever thought of taking The Pulpit ??
Siyo kwa mwendo huu sasa aisee........
Ooo yeah.....Sema leo nasherehekea Mapinduzi bwana!Happy birthday my beloved sister and Jirani.. Mungu akujaalie maisha marefu yenye furaha na mafanikio..
Sasa itabidi tupate mualiko na zawadi tupeleke..
Shemeji Roho wa Bwana atakushukia kama Gideoni ua Mitume utafanya makubwa.Haha hapana shemeji sidhani kama nina talanta hiyo, nabarikiwa zaidi kusikiliza na kujifunza kutoka kwa wengine.
Ameeeeen. Huyu mwanamke atakuwa busy anapinduka na mapinduzi dayShemeji Roho wa Bwana atakushukia kama Gideoni ua Mitume utafanya makubwa.
Sasa huyu Mwanamke Espy yuko wapi, haonekani hata ??
Haha umekumbuka alivyo kivurugehappy born day espy nimejikuta natabasamu tu !ukajaaliwe kila jema maishani mwako
Msalimu sanaaa,Ameeeeen. Huyu mwanamke atakuwa busy anapinduka na mapinduzi day
Zimefika shem. Weekend njema sana kwakoMsalimu sanaaa,
Mimi mwenyewe namalizia Sherehe hapa halafu kitaeleweka.