Rugaijamu JF-Expert Member Joined Jul 10, 2010 Posts 2,942 Reaction score 1,302 Jul 10, 2015 #1 Ni miaka mitano sasa tangu nijiunge rasmi kwenye Jamiiforums. Ilikuwa tarehe kama ya leo,mwezi wa leo mwaka 2010. Nawashukuru sana tena sana. Wote mlionipokea na kunikuza kifikra, kimaadili na kiuzalendo. Asante sana
Ni miaka mitano sasa tangu nijiunge rasmi kwenye Jamiiforums. Ilikuwa tarehe kama ya leo,mwezi wa leo mwaka 2010. Nawashukuru sana tena sana. Wote mlionipokea na kunikuza kifikra, kimaadili na kiuzalendo. Asante sana
Bailly5 JF-Expert Member Joined Mar 11, 2015 Posts 16,553 Reaction score 35,424 Jul 10, 2015 #2 nikajua ya kuzaliwa ila hongera ndugu