Happy Birthday to me

Happy Birthday to me

Determinantor

Platinum Member
Joined
Mar 17, 2008
Posts
61,204
Reaction score
99,943
Namshukuru MUNGU nimepunguza tena miaka ya kuishi, MUNGU ni mwema. Na ashukuriwe yeye atupaye kushinda na zaidi ya kushinda.

Happy Birthday to me.
 
Happy birthday wajina...
Imefika mingapi kaka!!!
 
Happybirthday mkuu ,ila una bahati sana mkuu kidogo tu ungezaliwa siku ya wajinga
 
happy birthday mkuu Mungu akujalie maisha marefu
 
Namshukuru MUNGU nimepunguza tena miaka ya kuishi, MUNGU ni mwema. Na ashukuriwe yeye atupaye kushinda na zaidi ya kushinda. Happy Birthday to me.

Mkuu, Happy Birthday first and foremost.

Sasa hapo kwenye RED, nilidhani ukitimiza miaka kadhaa, umeongoza miaka uliyoishi. Ione kila birthday kama nusu glasi iliyojaa siyo nusu glasi tupu! Ha ha ha!
 
Hapi Besidei mkuu. Mungu akujalie roho ya kumcha yeye na akuepushe na roho ya uongo uongo.
 
Happy Birthday Brother Elli. Nizidi kukutakia Baraka za Mungu. Wema na Amani yake ipitayo fahamu zetu izidi kukufunika.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom