wapendwa ndg zangu, haarini za leo!
leo ni siku yangu ya kuzaliwa 03.01....nimependa kuwajumuisha nanyi ndg zangu ktk furaha yangu hii... Asanteni!
wapendwa ndg zangu, haarini za leo!
leo ni siku yangu ya kuzaliwa 03.01....nimependa kuwajumuisha nanyi ndg zangu ktk furaha yangu hii... Asanteni!
Hongera sana,wengine kumbe mwaka unapoanza na nyie mnaanza mwaka mwingine kiumri dah raha sana wengine mpaka nusu ya mwaka huko!wapendwa ndg zangu, haarini za leo!
leo ni siku yangu ya kuzaliwa 03.01....nimependa kuwajumuisha nanyi ndg zangu ktk furaha yangu hii... Asanteni!
waaaooooo jamiif.
Hap birthday to u...leo ndo mwaka mpya wa ukwel kwako...
Let me sing a song to u m dear...
Hap b.day to uuuuuu......
Hap b.day to uuuuuu........
Hap b.day dear jamiif.......
Hap b.dau to uuuuuu....
Usitunyime keki......
usisahau kumshukuru mungu kwa kukufikisha siku ya leo..pia sama asante mama kwa kukuzaa na kukulea mpaka hapo ulipofikia...
wasichana wengi miaka hii wanatoa mimba na kuua/kutupa viumbe visivyokuwa na hatia.mama yako alikupenda na kukuthamin mpaka leo ukawa hivyo ulivyo...HAP B.DAY ONCE AGAIN JAMII F...