Mkubwa mzima unaitwa tamuuu.Asante Mungu kwa afya njema isiyo na mashaka.Ninawashukuru pia wazazi wangu kwa kila kitu na kila hatua ya malezi yao kwangu tangu nimezaliwa.
Leo 22.01.2023 natimiza miaka 36.Ni jambo jema kwangu,though mapambano ya maisha bado yanaendelea with kwa kuonesha upendo penye chuki,amani penye uhasama.Sijafanikiwa na kutimiza ndoto za kimaisha ila naamini zitatimia kwani naamini ktk processes.
Sijaoa bado,changamoto ni ZAMA hizi imekuwa ni jambo gumu kupata mwenza kwetu sie vijana.Na hii ni kwa wote ME na KE. Namtegemea Mungu,yeye anajua hatma yangu.
As am growing up,najiona nakomaa akili na kuwa very tolerant katika kila jambo na hatua ninayopita.
Tuishi kwa upendo,Mungu awabariki marafiki wa Jamiiforums.
We jamaa, inakuwaje unajiita Tamuuuu???? By the way, happy birthdayAsante Mungu kwa afya njema isiyo na mashaka.Ninawashukuru pia wazazi wangu kwa kila kitu na kila hatua ya malezi yao kwangu tangu nimezaliwa.
Leo 22.01.2023 natimiza miaka 36.Ni jambo jema kwangu,though mapambano ya maisha bado yanaendelea with kwa kuonesha upendo penye chuki,amani penye uhasama.Sijafanikiwa na kutimiza ndoto za kimaisha ila naamini zitatimia kwani naamini ktk processes.
Sijaoa bado,changamoto ni ZAMA hizi imekuwa ni jambo gumu kupata mwenza kwetu sie vijana.Na hii ni kwa wote ME na KE. Namtegemea Mungu,yeye anajua hatma yangu.
As am growing up,najiona nakomaa akili na kuwa very tolerant katika kila jambo na hatua ninayopita.
Tuishi kwa upendo,Mungu awabariki marafiki wa Jamiiforums.
[emoji120]Pole,keep it up be the richest lady.
Yes, kwasababu naogopa kupigwa nilishakuwa na Mtu anachunga sana Mali yake ila keki ningetoa na wengine wangefanya mengine kwani ukisherekeajeHalafu nimeku- PM but umeifunga PM yako my dada.Tuwasiliane please, tuje tuchome hata nyama Tengeru au mianzini.
Hahahaaaaaa daaah acha tu ndugu yangu,zama hizi zimekuwa ngumuuuuHappy bilated birthday legend, hujaoaaaaaa nini shida tamuuu
tukae kama kamati tusolve hili jambo maana haiwezekani ufike 36 huna mchumbaaaa
hahahhahahaha usinitusi lakini maana nitakuja geto faster
teh teh teh
Yah ila hajui Hilo ila kumbe uko Arusha sijajuaHeeeeh jamaaani! Sie wengine ni friends tu.