Leo tarehe 12/5 nisiku muhimu sana kwanguu nisiku mama yangu bi Evetha alinileta dunia
Ahsante mungu kwa kunipa afya na nguvu mpk kufika Siku hii ya leo.... Nakuomba unipe maisha marefu yenye baraka teleeee
Hongera sana kwa kutimiza siku ya kuzaliwa. Kama mzazi wako yuhai basi ni vyema leo ukampe zawadi.....Maana siku ya leo mama yetu alikuwa dunia nyingine....Hongera sana kwako na mzazi wako.........