mapengo junior
JF-Expert Member
- Jun 28, 2011
- 1,135
- 276
Happy birthday mapengo
Happy birthday mapengo junior, kila la kheri
Ahsanten wooote
Japo umetunyima ubwabwa
Jana nilikuwa na usaili PPF wa hovyooooo kweli Saa tisa tumeingia kumi nambili na robo😰😰😰😰😰 Wameharibu siku yng ya kuzaliwa hata keki sijala Mahana jr
Loh but yote ni baraka kikubwa pumzi