Ngambo Ngali
JF-Expert Member
- Apr 17, 2009
- 3,517
- 1,367
naona humtakii mema babu yangu.....Happy 95th Birthday...May you live to blow 101 candles.
naona humtakii mema babu yangu.....
si unajua mimi orijinale ni wa kule?
amechoka sana.... anastahili kupumzika kwa amani
Teja Mungu anajua atampumzisha lini, Ila kwa hali aliyonayo saa hizi kumwombea miaka 2 zaidi mbele ni kumwonea. Labda tuombe kwanza Mungu atende miujiza ya kumponya kabisaKwa hiyo unataka babu yako apumzike lini teja?
Teja Mungu anajua atampumzisha lini, Ila kwa hali aliyonayo saa hizi kumwombea miaka 2 zaidi mbele ni kumwonea. Labda tuombe kwanza Mungu atende miujiza ya kumponya kabisa
naona humtakii mema babu yangu.....
si unajua mimi orijinale ni wa kule?
amechoka sana.... anastahili kupumzika kwa amani
Tuendelee tu kumwombea, Mungu anaweza tenda miujiza.Najua hili rafiki lakini Mwenyezi Mungu mkubwa. Jana nilikuwa namsikia binti yake akisema kwamba anaendelea vizuri sana kiasi ambacho wanadhani anaweza kuruhusiwa kurudi nyumbani, hivyo huwezi jua ila ukweli amechoka sana.