Happy birthday neha

Happy Birthday neha mimi.. Jiandae w/end nitakuja kukutoa out..
 
Last edited by a moderator:
umezaliwa siku moja na

Christiano Ronaldo

Neymar Jr

Adnan Januzaj

hawa wote ni wachezaji nyota barani ulaya tena wa timu kubwa duniani
 
umezaliwa siku moja na

Christiano Ronaldo

Neymar Jr

Adnan Januzaj

hawa wote ni wachezaji nyota barani ulaya tena wa timu kubwa duniani

duuuh nafurahi kusikia hivo kwahy namm ntakuwa nyota siku moja
 
Heri ya kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa kwako neha mimi
 
Last edited by a moderator:
HAPPY BIRTHDAY NEHA. Kizuri jianze mwenyewe. Umefanya vyema dada. Wengine wanasubiri kuombewa maisha marefu na watu wengine.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…