Happy Birthday Mwifwa!

Hiki kimalkia ulichoandoka hapa ntakushtaki kwenye mahakama ya wahalifu wa kivita... maana umenifanya nimejing'ata ulimi.

Happy birthday kijana Mwifwa ... tafadhali mwambie Daby naye awe na birthday yake sio kila siku anadokoa birthday za watu
hahaha
pole babu,
bibi Sky Eclat atakuja kukupa dawa upone, ila useme ss wajukuu tukupe uzoefu uzoee usijing'ate tena

pole sana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…