Nampenda sana huyu mama, msikivu, mpole, nilimpenda zaidi alipomtemaelea Tundu Lisu hospitali, yaani unamuona kabisa huruma yake kutoka moyoni na chozi la kweli alitoa, pia hana mambo ya kuweka rohoni na kufuatilia wasio na hatia, yeye anafanya kazi kwa kufata sheria na taratibu, pia ana busara sana HB MAMA SAMIA.