[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kuna siku nilitoroka jumapili sijasain bana asinikamate niko doks moja huko..
Hata hakusema kitu aisee sikuamini ile siku nahisi mizimu yakwao ilishuka nikawa zamu yake nikimuona tu yuleee kushoto mi napita kulia akikatiza huku mi kuleeeee.. Akiniona ananipiga jichoo lake lile siunanijuaa lilivo kavu mwenyewe najihukumu
Haha bora hata ulijificha asee ungekoma mbona! Mimi ilikua hata kwa bahati mbaya nikigongana nae macho tu dakika sifuri nyingi hanioni nishajichanganya kwingine kama si kupotea eneo hilo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kuna siku nilitoroka nikakutana nae kwenye basi, weeeh nilimute kama sio mimi. Sikuamini hakuniita wala kunihoji. Ila nilimkwepaaaa hadi namaliza shule yani nisikutane nae tu. Kumbe alikuwa anakumbuka bwana, siku ya graduu akaniambia, "bahati yako umepata zawadi lasivyo ningekubarasaaa hadi mitihani uione michungu"
Huyu ni mtu mmojaIshi maisha marefu ndugu yangu...!
Mungu akubariki wewe na vizazi vyako vyote mahondaw
Joanah ,Muke halali wa Yeezus [emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7]Happy birthday to mahondaw . . .muke halali ya smart911
Maisha marefu na yenye baraka kwako bebe love[emoji8]
Acha bangi WeweHuyu ni mtu mmoja
Mahondaw =smart911Acha bangi Wewe
Ile ilikuwa namba nyingine, na hasahau!!Haha bora hata ulijificha asee ungekoma mbona! Mimi ilikua hata kwa bahati mbaya nikigongana nae macho tu dakika sifuri nyingi hanioni nishajichanganya kwingine kama si kupotea eneo hilo
Hee sasa we nyau nani asiye nijua humu ? Au unataka nikupe tusi mubashaara?He is trouble maker,naingia jf juzi anapaprika kila kona anataka ajulikane huyo.
Mpotezee na achana nae tu shoga angu
Yupi?Huyu ni mtu mmoja
ukiwezaThank friend jamani.. Badae nikuje kuchukua dhawadi ee??
Mh hilo jibu hilo ngoja niahirishe tu..ukiweza
mahondaw wangu... Am so happy when you are happy... My super dear... What ever am doing and have done today for your birthday i had it planned in my mind already... I don't mind giving you what you are wishing for... You want it i provide... U ask for it i give... You say name it i do...
Remember a month a ago i was asking you.. What are you wishing for ambacho huwezi kufanya au kukipata na kama utaamua go for it kitakuchukua muda... Ukanitajia... I kept on asking u na ukawa unataja same...
I have surprise you with what u wished for... Love you mahondaw wangu...