Happy birthday lowasa

Bilionea Asigwa

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2011
Posts
16,590
Reaction score
28,762
Japo nayachukia MAGAMBA yote hasa kutokana na UGAMBA wao ila sichukii watu...
Hongera ya kuzaliwa BWANA EDO..Hongera kwa kufikisha miaka 63 sasa...
Namuomba MUNGU akujalie uishi zaidi ya miaka 120 ili ushuhudie mabadiliko ya nchi hii na wananchi mliowatesa
kwa miaka mingi jinsi wanavyobadili hali ya maisha yao na kupata matumaini mapya mliyoyapoteza kwa muda
mrefu sana...
!!HAPPY BIRTHDAY BABA FRED!!
​
 
hawezi kuwa na miaka 63,rafiki yake,(kumbuka urafiki wao si wa kukutana barabarani )umri huo hajafikisha.
 
hawezi kuwa na miaka 63,rafiki yake,(kumbuka urafiki wao si wa kukutana barabarani )umri huo hajafikisha.
Alizaliwa 1953 hivyo basi ana miaka 60,wala sio 63.
 
Kama ni kweli let me wish Jembe EL a happy birthday, nakutakia afya njema tu kwa kipindi hiki najua mengine matamu yatafuata
 
Hata mimi ningeshangaa Edo kuwa 63 leo badala 60. Afadhal maGT mmeiona mapema na kuiweka sawa. HAPPY BIRTHDAY EDO
 
Hata mimi ningeshangaa Edo kuwa 63 leo badala 60. Afadhal maGT mmeiona mapema na kuiweka sawa. HAPPY BIRTHDAY EDO
Mhh jamaa yangu umekua adimu sana! Wapi mkuu?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…