GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,730
- 128,233
- Thread starter
-
- #61
Happy Birthday Mkuu, Mungu akujalie maisha marefu na mazuri mbeleni.
Hata hivyo nasubiri ahadi yako uliyotoa siku ya Kuzaliwa ya Nifah kuwa utaacha upashkuna, kujidai, kujisikia na utakuwa GENTAMYCINE mpya kabisa mwenye kuleta nyuzi na comments zenye kujenga na kuburudisha.
Uishi miaka mingi mkuu, HONGERA KWA KUZALIWA TENA.
Happy birthday ...Mungu akupe umri mrefu na maisha yenye baraka
Happy birthday vuvuzela
Ujumbe umefika chief wakuelewa ataelewa!Mnaonaje haya ya Wewe na mwenzio huyo mkayachangie kule katika Uzi maalum niliouanzisha wa Watangazaji wa Radio One Abdallah Mwaipaya na Farhia Middle na katika uzi huu muache mantiki yake nzima ibaki? Mnapokuja na hoja za mada nyingine katika Mada ya Birthday yangu mnataka niwaeleweje? Acheni Uswahili tafadhali na tuheshimiane tafadhali. Mwambie na mwenzio pia huu ujumbe. Shukran!
Ukuwe uje uwasaidie wazazi. Mungu akujalie hekima, busara, maarifa na upeo wa kuona mbali.Akhsante sana Mkuu, amen na inshaallah.
Sawa Mkuu, nilikuwa nakukumbusha tu ahadi yako siyo lazima uitimize.Hapo kwenye kusema au kuahidi kuwa nitaacha ' kujisikia ' sikumbuki kama nilisema hata hivyo kwakuwa unaoenekana hilo linakukera naomba tu nami niyanukuu maneno ya Mheshimiwa Rais wetu JPM kwa kusema kuwa " GENTAMYCINE sipendi kushinikizwa kufanya jambo humu kwanza isitoshe hakuna kati yenu aliyenisaidia Mimi GENTAMYCINE kujisajili na kuwa Member wa Kutukuka humu JF miaka mitatu iliyopita ". Huko ' Kujisikia ' Kwangu ningeacha ila kwakuwa umekuwa na ' Kiherehere ' sasa nasitisha huo mpango na sasa ndiyo nitakuwa najisikia hadi Mnune kutoka Tegeta hadi Mbagala.
Haaaaaaahaaaaaa bora angekaa kmya tu kuongea ndio kaharibu kabsaaaa kwa nnavyokufaham huwa hushinikizwi chapa kazi!Hapo kwenye kusema au kuahidi kuwa nitaacha ' kujisikia ' sikumbuki kama nilisema hata hivyo kwakuwa unaoenekana hilo linakukera naomba tu nami niyanukuu maneno ya Mheshimiwa Rais wetu JPM kwa kusema kuwa " GENTAMYCINE sipendi kushinikizwa kufanya jambo humu kwanza isitoshe hakuna kati yenu aliyenisaidia Mimi GENTAMYCINE kujisajili na kuwa Member wa Kutukuka humu JF miaka mitatu iliyopita ". Huko ' Kujisikia ' Kwangu ningeacha ila kwakuwa umekuwa na ' Kiherehere ' sasa nasitisha huo mpango na sasa ndiyo nitakuwa najisikia hadi Mnune kutoka Tegeta hadi Mbagala.
Ukuwe uje uwasaidie wazazi. Mungu akujalie hekima, busara, maarifa na upeo wa kuona mbali.
Sawa Mkuu, nilikuwa nakukumbusha tu ahadi yako siyo lazima uitimize.
Ifurahie siku yako na Mungu akubariki.
Haaaaaaahaaaaaa bora angekaa kmya tu kuongea ndio kaharibu kabsaaaa kwa nnavyokufaham huwa hushinikizwi chapa kazi!
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] wa kule kuleHapo kwenye kusema au kuahidi kuwa nitaacha ' kujisikia ' sikumbuki kama nilisema hata hivyo kwakuwa unaoenekana hilo linakukera naomba tu nami niyanukuu maneno ya Mheshimiwa Rais wetu JPM kwa kusema kuwa " GENTAMYCINE sipendi kushinikizwa kufanya jambo humu kwanza isitoshe hakuna kati yenu aliyenisaidia Mimi GENTAMYCINE kujisajili na kuwa Member wa Kutukuka humu JF miaka mitatu iliyopita ". Huko ' Kujisikia ' Kwangu ningeacha ila kwakuwa umekuwa na ' Kiherehere ' sasa nasitisha huo mpango na sasa ndiyo nitakuwa najisikia hadi Mnune kutoka Tegeta hadi Mbagala.